• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
MKOA WA NJOMBE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government MKOA WA NJOMBE

  • Home
  • About Us
    • Historical Background
    • Mission and Vision
  • Administration
    • Regional Secretariat Structure
    • Sections
      • Administration & HR
        • Local Government
      • Planning & Coordination
      • Economic & Production
      • Infrastructure
      • Education
      • Water
      • Health
    • Units
      • Finance & Accounts
      • Internal Auditor
      • Procurement & Supply
      • ICT
      • Legal
  • Districts
    • Njombe
    • Wanging'ombe
    • Makete
    • Ludewa
  • Councils
    • Njombe TC
    • Njombe DC
    • Makambako TC
    • Wanging'ombe DC
    • Makete DC
    • Ludewa DC
  • Investment Opportunity
    • Agriculture
    • Livestock
    • Mining
    • Industries and Trade
    • Tourism
  • Services
  • Publications
    • Sheria
    • Guidelines
    • Procedures
    • Application Forms
    • Integrity Pledges Form
    • Nyaraka
  • Media Center
    • Press Release
    • Picture Gallery
    • Video Gallery
    • Speeches
    • News
    • Events

Health

IDARA/SEHEMU YA AFYA USTAWI WA JAMI

Sehemu hii inajumuisha na hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe, lengo la sehemu hii ni kusaidia au kuwezesha utoaji wa huduma bora za Afya za kinga, matibabu na maendeleo ya huduma za Afya na Ustawi wa Jamii katika Mkoa. Seksheni hii inaongozwa na Katibu Tawala Msaidizi ambaye pia ni Mganga Mkuu wa Mkoa, ambaye anawajibika kwa Katibu Tawala wa Mkoa.

Idara ndogo ndogo ndani ya Afya

  • Elimu ya Afya
  • Huduma za Tiba (Magonjwa ya ndani, Watoto, wajawazito, Upasuaji na Mifupa, Huduma za mionzi, Maabara na Mortuary)
  • Huduma za Kinga (Huduma za Afya ya mama na mtoto na Huduma za kuzuia magonjwa ya kuambukiza)
  • Utengemao (Rehabilitation)
  • Ustawi wa Jamii
  • Afya ya Mazingira
Majukumu ya Seksheni ya Afya na Ustawi wa Jamii

Majukumu ya Idara/Seksheni

Majukumu ya seksheni/sehemu ya Afya na Ustawi wa Jamii:

  • Kuratibu na kushauri juu ya utekelezaji wa wa sera za Afya katika Mkoa
  • Kuratibu masuala ya Afya na Ustawi wa Jamii katika Mkoa
  • Kusimamia utoaji sahihi wa huduma za Afya zinazotolewa na hospitali/vituo vya Umma na sekta binafsi katika Mkoa
  • Kuzijengea uwezo Mamlaka za Serikali za Mitaa katika utoaji wa huduma za Afya
  • Kutoa ushauri wa kitaalamu katika uandaaji wa mipango ya upambanaji/uzuiaji wa tatizo la Virusi/UKIMWI (HIV/AIDS)
  • kutoa ushauri wa kitaalamu juu ya uendeshaji wa shughuli zinazohusiana na masuala ya Virusi/UKIMWI (HIV/AIDS) katika Mkoa
  • Kutoa huduma za Afya/msaada unaohitajika wakati wa milipuko ya magonjwa katika Mkoa
  • Kutoa huduma za kliniki na matibabu kwa wagonjwa wa ndani na nje wanaoletwa kutoka vituo vya Afya/hospitali za mamlaka za serikali za mitaa
  • Kutoa huduma za kitaalamu (utaalamu wa kubobea) za matibabu
  • Kutoa/Kusaidia huduma za kitaalamu na msaada unaohitajika kwa vituo vya Afya na Hospitali za Mamlaka za Serikali za Mitaa wakati wa milipuko ya magonjwa yakuambukiza
  • Kutoa huduma za rufaa za maabara na vipimo
  • Kuratibu upatikanaji wa madawa/vifaa tiba kwa ajili ya hospitali



HALI YA AFYA NA USTAWI WA JAMII

Mafanikio yaliyopatikana katika Sekta ya Afya ni kama ifuatavyo:-

Vituo vya kutolea huduma.

  •  Mwaka 2005 Mkoa wa Njombe ulikuwa na Hospitali 10, Vituo vya Afya 19 na Zahanati 116, Mwaka 2014 Mkoa una jumla ya Hospitali 11, Vituo vya Afya 20 na Zahanati 207.
  • Mgawanyo wa Huduma za Afya na wamiliki Mwaka 2005 ni                         kama ifuatavyo:
    • HUDUMA ZA AFYA
    • MMILIKI
    • WILAYA
    • JUMLA
    • Njombe
    • Ludewa
    • Makete

    • Zahanati
    1. Serikali
    • 40
    • 33
    • 13
    • 86
    2. Binafsi/Shirika
    • 17
    • 3
    • 10
    • 30
        JUMLA
    • 57
    • 36
    • 23
    • 116
    • Vituo vya Afya
    1. Serikali
    • 3
    • 3
    • 3
    • 9
    2. Binafsi
    • 6
    • 3
    • 1
    • 10
        JUMLA
    • 9
    • 6
    • 4
    • 19
    • Hospitali
    1. Serikali
    • 1
    • 1
    • 1
    • 3
    2. Binafsi
    • 3
    • 2
    • 2
    • 7
        JUMLA
    • 4
    • 3
    • 3
    • 10
    • JUMLA
    1. Serikali
    • 44
    • 37
    • 17
    • 98
    • JUMLA
    2. Binafsi
    • 26
    • 9
    • 13
    • 48

        JUMLA
    • 70
    • 46
    • 30
    • 146

    • Mgawanyo wa Huduma za Afya na Umiliki kwa Mwaka 2014:
      • HUDUMA ZA AFYA
      • MMILIKI
      • WILAYA
      •  
      •  
      • JUMLA
      • Njombe
      • Njombe TC
      • Makete
      • Ludewa
      • WANGING’OMBE

      • Zahanati
      1. Serikali
      • 63
      • 39
      • 22
      • 49
      • 39
      • 173
      2. Binafsi/Shirika
      • 14
      • 5
      • 11
      • 4
      • 2
      • 34
      • Vituo vya Afya
      1. Serikali
      • 3
      • 1
      • 3
      • 3
      • 2
      • 10
      2. Binafsi/Shirika
      • 1
      • 5
      • 1
      • 3
      • 1
      • 10
      • Hospitali
      1. Serikali
      • 1
      • 1
      • 1
      • 1
      • -
      • 4
      2. Binafsi
      • 2
      • 1
      • 2
      • 2
      • 1
      • 7
      • JUMLA
      1. Serikali
      • 67
      • 41
      • 26
      • 53
      • 41
      • 187
      2. Binafsi
      • 17
      • 11
      • 14
      • 9
      • 4
      • 51
      • JUMLA YOTE
      1. Serikali na Mashirika/Binafsi
      • 84
      • 52
      • 40
      • 62
      • 45
      • 238

      • Kwa kipindi hicho vituo vya kutolea huduma vimeongezeka kutoka 146 mwaka 2005 hadi 238 mwaka 2014. Hii ni sawa na ongezeko la asilimia 63.
      •  Huduma za Mama na Watoto
        • Katika kipindi cha mwaka 2005 na 2014, idadi ya akina Mama wajawazito wanaojifungulia katika vituo vya kutoa huduma imeongezeka. Mwaka 2005 ilikuwa asilimia 56, kiwango kimeongezeka hadi kufikia asilimia 94 hadi kufikia Agosti, 2014.
        •  Kwa Mujibu wa taarifa ya Vifo vya watoto wachanga (Infants Mortality Rate (IMR) na watoto chini ya miaka 5 (Under 5 Mortality Rate (U5MR), navyo vimepungua.  Kwa Mwaka 2005, kati ya watoto 1,000 waliozaliwa hai, watoto  506 kati yao walifariki dunia na  kati ya watoto 1,000 waliozaliwa , watoto 240 kati yao walifariki dunia hadi  Agosti 2014 na kufanya hali ya vifo hivi kupungua kwa wastani wa asilimia 50 .
        • Pia, idadi ya vifo vitokanavyo na uzazi vimepungua kutoka vifo 250 kati ya akina mama 100,000  Mwaka 2005, hadi kufikia vifo 110  Agosti,  2014 kwa kila akina Mama 100,000, sawa na asilimia 56.
        • Aidha, kiwango cha utoaji wa chanjo kwa watoto wenye umri chini ya mwaka mmoja kimeongezeka kutoka asilimia 87 kwa Mwaka 2005 hadi kufikia asilimia 92 Agosti, 2014.
    • Jitihada za Mkoa katika kupambana na maambukizi  ya Virusi vya UKIMWI:


      •  Kutoa elimu jinsi ya kujizuia na maambukizi ikiwa ni pamoja na  Matumizi ya kondomu na kuwa na mpenzi mmoja.
      •  Kuzuia maambukizi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto (Option B+)
      •  Kufanya TOHARA kwa wanaume. Mpango wa tohara kwa wanaume ulianza kutekelezwa mwaka 2011/2012 katika Mkoa wa Njombe. Jumla ya wanaume wapatao 119,444 walifanyiwa tohara hadi kufikia Oktoba, 2014.
      • Mkoa umekuwa ukiratibu masuala Mtambuka ikiwemo ugonjwa wa UKIMWI. Kwa mwaka 2009 Mkoa ulianzisha Kamati za kudhibiti UKIMWI za Halmashauri 5 na katika ngazi za Kata 96.Hadi Oktoba, 2014 kamati za kudhibiti UKIMWI za Halmashauri 6 zimepatiwa mafunzo rejea ya kutekeleza majukumu yao. Kamati za UKIMWI za Kata 96 zimepewa mafunzo ya kutekeleza majukumu yake. Aidha, Elimu ya kuzuia maambukizi mapya imetolewa kwa jamii katika Kata 58 miongoni mwa Kata 96 mwaka 2013/2014.

Announcements

  • SADC YAMWAGA AJIRA ZA KUTOSHA KWENYE FANI MBALIMBALI May 25, 2008
  • AUSTRALIA AWARDS SCHOLARSHIPS (MASTER’S DEGREE AND SHORT COURSES) FOR 2019/2020. September 24, 2018
  • WIZARA YA FEDHA YAMIMINA AJIRA MEI 2018 May 17, 2018
  • View All

Latest News

  • Naibu waziri wa maji na umwagiliaji Nchini Jumaa Aweso ametangaza kiama kwa watakaobainika kula fedha za mradi wa maji .

    October 06, 2018
  • WIZARA YA ELIMU YAVUNJA MKATABA NA MKANDARASI HERKIN BUILDERS LTD.

    October 06, 2018
  • ATOA HUDUMA ZA AFYA WATAKIWA KUTOWASAHAU WATOTO KATIKA KUWAKINGA NA MAAMBUKIZI YA VVU

    October 06, 2018
  • Meli ya MV Nyerere yazama Ziwa Victoria.

    September 21, 2018
  • View All

Video

OLE SENDEKA AWASHA MOTO
More Videos

Quick Links

  • Vivutio vya Utalii mkoani Njombe
  • Fursa za kilimo cha matunda aina ya maparachichi
  • Maktaba ya Picha
  • Maktaba ya Video

Related Links

  • Tovuti ya Temesa
  • Tovuti ya Tanroads
  • Tovuti ya Wizara ya Ujenzi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Njombe Nearby Ruhuji River

    Postal Address: P.O.Box 668-Njombe

    Telephone: 0262782012/13

    Mobile:

    Email: ras@njombe.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.