• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
MKOA WA NJOMBE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government MKOA WA NJOMBE

  • Home
  • About Us
    • Historical Background
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections
      • Administration & HR Section
      • Local Government Section
      • Planning & Coordination Section
      • Economic & Production Section
      • Infrastructure Section
      • Education Section
      • Health Section
    • Units
      • Finance & Accounts Unit
      • Internal Audit Unit
      • ICT Unit
      • Procurement & Supply Unit
      • Legal Unit
  • District
    • Njombe District
    • Wanging'ombe District
    • Makete District
    • Ludewa District
  • Councils
    • Njombe TC
    • Njombe DC
    • Wanging'ombe DC
    • Makete DC
    • Ludewa DC
    • Makambako Tc
  • Investment Opportunities
    • Agriculture
      • Crop production
      • Livestock
      • Fisheries
      • Forestry
    • Tourism
    • Mining
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • ICT Services
    • Infrastructure Services
    • Water Services
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Laws
    • Forms
    • Strategic plan
    • Client Service Charter
  • Media Center

Fisheries


1.UTANGULIZI

Sekta ya Uvuvi katika mkoa wa Njombe ni change kwani kwa kiasi kikubwa inategemea kuagiza samaki toka mikoa mingine.  Uvuvi mdogo katika ziwa Nyasa na mabwawa yaliyopo yanatoa chini ya asilimia 5 ya mahitaji ya samaki mkoani.

2.MABWAWA YALIYOPO MKOANI NJOMBE

Katika mwaka 2018 / 2019  jumla ya kilo 16,567 zenye thamani ya shilingi 108,489,000 zilivunwa na kuuzwa.Mchanganuo umeonyeshwa kwenye jedwali.

HALMASHAURI
IDADI YA MABWAWA
MAVUNO/MWAKA(kg)
THAMANI
Mji Njombe
145
7,999
55,993,000
Njombe DC
-

0
Wanging’ombe
156
5,259
29,333,000/=
Makambako
135
3309
23,163,000
Ludewa
51
-
0
Makete
153
-
0


16,567
108,489,000




3.SAMAKI/DAGAA WALIOINGIZWA TOKA MIKOA MINGINE

Mkoa unapokea samaki na dagaa wenye uzito wa kilo 258,782  na thamani ya shilingi  1,917,628,000 toka Mikoa ya Iringa, Mwanza,  na Kigoma. Mchanganuo umeoneshwa kwenye jedwali hapa chini.

HALMASHARI
SAMAKI WAKAVU(kg)
THAMANI(T. SH)
WABICHI (kg)
THAMANI(T.SH.)
DAGAA (kg)
THAMANI(T.SH)
Mji Njombe
32,741
261,928,000
97,727
684,089,000
3,576,410
28,611,280,000
Njombe DC
4,763
38,104,000
2340
16,380,000
436
3,488,000
Wanging’ombe
12,674
101,392,000
5,765
40,355,000
867
6,936,000
Makambako
26,188
209,504,000
25,967
181,769,000
1,460
11,680,000
Ludewa
12,768
102,144,000
3,655
25,585,000
6,897
55,176,000
Makete
3,784
30,272,000
17,174
120,218,000
0
0
JUMLA
92,918
743,344,000
152,628
1,068,396,000
3,586,070
28,688,560,000

NB Bei ya wastani kwa samaki wakavi ilikuwa sh. 8,000 kwa kilo moja, wabichi ilikuwa shilingi 7,000/kg, na dagaa ilikuwa shilingi  8,000/kg.



4.USHAURI KWA WAFUGAJI WA SAMAKI

Jumla ya wafugaji 425( ke 125 , me 300) na vikundi 5 walipewa ushauri mbalimbali wa ufugaji wa samaki kwenye mabwawa ikiwemo ulishaji, magonjwa na masoko.

5.CHANGAMOTO ZA SEKTA YA UVUVI.

(a)  upungufu mkubwa wa watumishi. NB Mkoa una wataalamu 4 tu wa uvuvi waliopo katika halmashauri 2. Halmashauri 4 pamoja na Mkoa hauna wataalam hao.

(b)Vitendea kazi;- kutokana na upungufu wa bajeti na bajeti ndogo ya halmashauri wataalam wa uvuvi hawana vitendea kazi ikiwa ni pamoja na usafiri kama magari au pikipiki.

Announcements

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 MKOA WA NJOMBE December 14, 2022
  • View All

Latest News

  • ZIARA YA MKUU WA MKOA NJOMBE YA ZAA MATUNDA

    January 19, 2023
  • WAZIRI WA KILIMO AFANYA ZIARA YA KIKAZI MKOA WA NJOMBE

    January 18, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA

    November 27, 2022
  • ZIARA

    November 26, 2022
  • View All

Video

Music
More Videos

Quick Links

  • Vivutio vya Utalii mkoani Njombe
  • Fursa za kilimo cha matunda aina ya maparachichi
  • Maktaba ya Picha
  • Maktaba ya Video

Related Links

  • Tovuti ya Temesa
  • Tovuti ya Tanroads
  • Tovuti ya Wizara ya Ujenzi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Njombe Nearby Ruhuji River

    Postal Address: P.O.Box 668-Njombe

    Telephone: 0262782912/13

    Mobile:

    Email: ras@njombe.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.