• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
MKOA WA NJOMBE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government MKOA WA NJOMBE

  • Home
  • About Us
    • Historical Background
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections
      • Administration & HR Section
      • Local Government Section
      • Planning & Coordination Section
      • Economic & Production Section
      • Infrastructure Section
      • Education Section
      • Health Section
    • Units
      • Finance & Accounts Unit
      • Internal Audit Unit
      • ICT Unit
      • Procurement & Supply Unit
      • Legal Unit
  • District
    • Njombe District
    • Wanging'ombe District
    • Makete District
    • Ludewa District
  • Councils
    • Njombe TC
    • Njombe DC
    • Wanging'ombe DC
    • Makete DC
    • Ludewa DC
    • Makambako Tc
  • Investment Opportunities
    • Agriculture
      • Crop production
      • Livestock
      • Fisheries
      • Forestry
    • Tourism
    • Mining
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • ICT Services
    • Infrastructure Services
    • Water Services
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Laws
    • Forms
    • Strategic plan
    • Client Service Charter
  • Media Center

ICT Services

TEHAMA

Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano kwa kifupi TEHAMA, ni moja kati ya vitengo vitano (5) vikiwemo vya  Sheria, Ununuzi na Ugavi, Ukaguzi wa Ndani, na Uhasibu  vilivivyoanzishwa baada ya Serikali kufanya marekebisho ya Muundo wa Sekretarieti za Mikoa ambapo Mheshimiwa Rais Mtaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Daktari Jakaya Mrisho  Kikwete, alisaini waraka wa Serikali uitwao The Functions and Organisation Structure of the Regional Secretariats tarehe 3 Juni, 2011.

Dhumuni kuu la kuanzishwa kwa Kitengo cha TEHAMA ilikuwa ni kutoa utaalamu na huduma katika maeneo yote yanayohusiana na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano katika  Mkoa. Ikumbukwe tu kuwa TEHAMA ni moja kati ya sekta inayojitegemea, lakini pia ni sekta mtambuka ambapo inaziwezesha sekta nyingine za kiuchumi na kijamii kufanya kazi zake kwa ufanisi.

MIUNDOMBINU YA TEHAMA 
Kitengo cha TEHAMA kimesimika na kinasimamia Mtandao wa Ndani wa Mawasiliano – Local Area Network (LAN) katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa ambapo mtandao huu unatumika kuzifikishia Sehemu na Vitengo huduma ya Internet.

MIFUMO YA KOMPYUTA 
Kitengo cha TEHAMA katika Sekretarieti ya Mkoa ni msimamizi na mshauri mkuu katika ngazi ya Mkoa kuhusu masuala yote ya TEHAMA katika Sekretarieti yenyewe na Mamlaka za Serikali za Mitaa zilizoko mkoani Mara. Kitengo cha TEHAMA kinasimamia mifumo ya Intergrated Financial Management Information System – IFMIS/Epicor, Human Capital Management Information System – HCMIS/Lawson, Local Government Revenue Collection Information System(LGRCIS), Planning and Reporting System – PLANREP, Government Salary Payment Gateway(GSPP), GoT-HoMIS na mifumo mingine mingi ambayo imetengenezwa mahsusi kwa ajili ya kazi fulani.

TOVUTI YA MKOA 
Sekretatieti ya Mkoa wa Njombe ina tovuti ambayo hutumika kutoa taarifa na elimu kwa yeyote yule atakayeifungua. Tovuti hii iitwayo www.njombe.go.tz ina kurasa zenye taarifa na matukio yanayotokea katika Mkoa wa Njombe, lakini zipo kurasa maalum za Mamlaka za Serikali za Mitaa zinazoelezea Mamlaka hizo.

Tovuti ya Mkoa inatoa huduma ya barua pepe kwa Sehemu, Vitengo na maafisa wa Sekretarieti ya Mkoa ikiwa ni utekelezaji wa maagizo ya Serikali yanayozitaka taasisi za Serikali na Wakala wake kutumia barua pepe zinazotokana na tovuti za taasisi hizo ili kuimarisha upatikanaji bora wa mawasiliano na usalama wa taarifa zenyewe.

Hivi karibuni, tovuti ya Mkoa wa Njombe itaboreshwa na kuongezwa taarifa nyingi zinazohusu Sekretarieti ya Mkoa yenyewe na Mamlaka za Serikali za Mitaa ili kuifanya Serikali kuwa wazi zaidi kwa kutoa taarifa (Open Data). Taarifa zitakazowekwa ni pamoja na Mipango na bajeti, taarifa za utekelezaji, mapokezi ya fedha, matokeo ya zabuni, taarifa za uhamisho n.k.

 

Announcements

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 MKOA WA NJOMBE December 14, 2022
  • View All

Latest News

  • ZIARA YA MKUU WA MKOA NJOMBE YA ZAA MATUNDA

    January 19, 2023
  • WAZIRI WA KILIMO AFANYA ZIARA YA KIKAZI MKOA WA NJOMBE

    January 18, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA

    November 27, 2022
  • ZIARA

    November 26, 2022
  • View All

Video

Music
More Videos

Quick Links

  • Vivutio vya Utalii mkoani Njombe
  • Fursa za kilimo cha matunda aina ya maparachichi
  • Maktaba ya Picha
  • Maktaba ya Video

Related Links

  • Tovuti ya Temesa
  • Tovuti ya Tanroads
  • Tovuti ya Wizara ya Ujenzi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Njombe Nearby Ruhuji River

    Postal Address: P.O.Box 668-Njombe

    Telephone: 0262782912/13

    Mobile:

    Email: ras@njombe.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.