• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
MKOA WA NJOMBE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government MKOA WA NJOMBE

  • Home
  • About Us
    • Historical Background
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections
      • Administration & HR Section
      • Local Government Section
      • Planning & Coordination Section
      • Economic & Production Section
      • Infrastructure Section
      • Education Section
      • Health Section
    • Units
      • Finance & Accounts Unit
      • Internal Audit Unit
      • ICT Unit
      • Procurement & Supply Unit
      • Legal Unit
  • District
    • Njombe District
    • Wanging'ombe District
    • Makete District
    • Ludewa District
  • Councils
    • Njombe TC
    • Njombe DC
    • Wanging'ombe DC
    • Makete DC
    • Ludewa DC
    • Makambako Tc
  • Investment Opportunities
    • Agriculture
      • Crop production
      • Livestock
      • Fisheries
      • Forestry
    • Tourism
    • Mining
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • ICT Services
    • Infrastructure Services
    • Water Services
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Laws
    • Forms
    • Strategic plan
    • Client Service Charter
  • Media Center

LUDEWA YAADHIMISHA SIKU YA WAZEE DUNIANI

Posted on: October 1st, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Ludewa  asherehekea Siku ya Wazee Duniani na Wazee wa Wilaya ya Ludewa.

Kila tarehe Mosi Oktoba kila mwaka huwa ni Maadhimisho ya siku wa Wazee Duniani ambapo wazee hukumbukwa kwa michango yao mbalimbali hasa kwa kuyatumikia mataifa yao katika Nyanja mbalimbali wakati wa ujana wao.

Wilaya ya Ludewa ni Miongoni mwa Wilaya zilizoshiriki siku hii hapa nchini Tanzania kwa kuwakusanya Wazee kutoka kwenye maeneo mbalimbali ili kusheherekea  siku hii ya Wazee Duniani.

Mkuu wa Wilaya ya Ludewa akiwakilishwa na Katibu Tawala wa Wilaya ya Ludewa Bwn. Linus Malamba wakati akiongea na wazee wa Wilaya ya Ludewa amewaasa vijana kuiga ubunifu kutoka kwa wazee hao ambao walilitumikia Taifa la Tanzania  kwa moyo mmoja na kuazisha viwanda mbalimbali nchini ili kuinua uchumi wa nchi.

Wazee hawa walianzisha mashamba ya kahawa,chai pia na kuanziasha viwanda vya aina mbalimbali nchini na kuviendesha lakini vijana wa siku hizi hawafanyi kazi bali wanakaa vijiweni na kucheza mchezo wa pool . Nawaasa vijana  mkakae na wazee na muwaulize mbinu walizokuwa wanazitumia katika kufanya kazi mbalimbali na kuendesha familia.

Wazee wameishukuru Serikali kwa kuwakumbuka katika siku hiyo na kuwapa huduma za mara kwa mara. “Kwanza sisi wazee tuliopo hapa  tulikuwa hatujui kama leo ni siku yetu Duniani lakini kwa kuwa Mkuu wa wetu wa Wilaya  ametukumbuka nasi tumefurahi sana tumeona tunavyothaminiwa. Alishukuru Mwenyekiti wa Wazee.

Aidha, Mzee aliongeza kwa kusema kuwa  anaishukuru Serikali kwa kuwapatia  vitambulisho vinavyowatambulisha Pindi wanapohitaji huduma ya matibabu ya kutibiwa  ambapo hapo awali walikuwa wakipata tabu ya kwenda kutibiwa Hospitali kwasababu ya kukosa fedha za matibabu.

Katika Maadhimisho hayo wazee hao wameiomba serikali kuwasaidia na wao Kama wazee kupatiwa mikopo isiyo na riba kwani bado uwezo wa kufanya kazi wanao na wanamatumaini yakuendeleza nchi kwa kushiriki shughuli mbalimbali za kijasiliamari.

Katika hatua nyingine Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa akiwakilishwa na Bwn. Girbet Ngailo amewasihi wazee hao kuwahamasisha vijana kufanya kazi za kuwaingizia kipato na kuacha tabia ya kucheza puru muda wote.

Announcements

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 MKOA WA NJOMBE December 14, 2022
  • View All

Latest News

  • ZIARA YA MKUU WA MKOA NJOMBE YA ZAA MATUNDA

    January 19, 2023
  • WAZIRI WA KILIMO AFANYA ZIARA YA KIKAZI MKOA WA NJOMBE

    January 18, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA

    November 27, 2022
  • ZIARA

    November 26, 2022
  • View All

Video

Music
More Videos

Quick Links

  • Vivutio vya Utalii mkoani Njombe
  • Fursa za kilimo cha matunda aina ya maparachichi
  • Maktaba ya Picha
  • Maktaba ya Video

Related Links

  • Tovuti ya Temesa
  • Tovuti ya Tanroads
  • Tovuti ya Wizara ya Ujenzi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Njombe Nearby Ruhuji River

    Postal Address: P.O.Box 668-Njombe

    Telephone: 0262782912/13

    Mobile:

    Email: ras@njombe.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.