Kutoka Makete
Wanafunzi wapatao 2,906 leo Octoba 5, 2022 wameanza kufanya mitihani ya kuhitimu darasa la saba mwaka huu Wilayani Makete Mkoani Njombe.
Mitihani hiyo imeanza kufanyika leo tarehe 5 na itahitimishwa kesho tarehe 6 Octoba, 2022 katika vituo 104 kati ya hivyo vituo 102 ni vya Serikali na vituo 2 ni binafsi.
Njombe Nearby Ruhuji River
Postal Address: P.O.Box 668-Njombe
Telephone: 0262782912/13
Mobile:
Email: ras@njombe.go.tz
Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.