Usajili wa Mbolea ya Ruzuku unaoendelea maeneo mbalimbali hapa nchi basi Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa ni miongoni mwa Wilaya zinazoendelea na zoezi hilo.
Na hadi kufikia leo Oktoba 3, 2022 takribani wakulima elfu 30 wamesajiliwa na wakulima wengine wanaendelea kusajiliwa.
Njombe Nearby Ruhuji River
Postal Address: P.O.Box 668-Njombe
Telephone: 0262782912/13
Mobile:
Email: ras@njombe.go.tz
Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.