Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Eng. Kundo A. Mathew Kesho Novemba 27, 2022 atakuwa na ziara ya kikazi ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa.
Pamoja na mambo mengine atatembelea minara mipya ya mawasiliano ya simu.
Njombe Nearby Ruhuji River
Postal Address: P.O.Box 668-Njombe
Telephone: 0262782912/13
Mobile:
Email: ras@njombe.go.tz
Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.