Waziri wa Madini, Mh. Dotto Biteko (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa mchimbaji mdogo wa madini Bw. Ruben Mtitu maarufu Mzee Kisangani juu ya mradi wake wa kufua madini ya chuma katika kijiji cha Masimbu Wilayani Ludewa. Katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Mh. Andrea Tsere. Mh. Waziri wa Madini alifanya ziara katika mkoa wa Njombe kujionea maendeleo kwenye sekta ya madini.
Njombe Nearby Ruhuji River
Postal Address: P.O.Box 668-Njombe
Telephone: 0262782912/13
Mobile:
Email: ras@njombe.go.tz
Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.