Posted on: February 16th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Anthony Mtaka leo Februari 16, 2024 amekabidhi magari 13 kwa Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri za Mkoa wa Njombe, zoezi hilo limefanyika katika uwanja wa Ofisi ya Mkuu w...
Posted on: February 16th, 2024
Katibu Tawala Mkoa wa Njombe, Bi. Judica Omari, tarehe 15 Februari 2024 amezindua kampeni ya chanjo ya surua na Rubella Mkoani Njombe uliofanyika kwenye Zahanati ya Mji Mwema iliyopo kata ya Mji Mwema...
Posted on: February 15th, 2024
Katika kuhakikisha Udumavu ndani ya Mkoa wa Njombe unatokomezwa AVOGROP wamejitokeza kuunga Mkono juhudi za serikali kupambana na Udumavu kwa kutoa matunda ya Parachichi ambayo yamegawiwa kwa wanafunz...