Posted on: October 28th, 2022
1."Wazabuni na Watu wa Manunuzi kuweni makini katika kuhakikisha ubora wa vifaa unaendana na gharama lakini pia ubora baada ya mradi kukamilika"SHARIFA Y. NABALANG'ANYA
2. "Nitumie furs...
Posted on: October 20th, 2022
Mikataba yenye thamani zaidi ya Bil. 22 ya ujenzi wa barabara Mkoa wa Njombe imesainiwa leo,ikiwa ni sehemu ya pili tangu mikataba hiyo kusainiwa Mkoani Dodoma Agosti 14, mwaka huu mbele y...
Posted on: October 5th, 2022
Kutoka Makete
Wanafunzi wapatao 2,906 leo Octoba 5, 2022 wameanza kufanya mitihani ya kuhitimu darasa la saba mwaka huu Wilayani Makete Mkoani Njombe.
Mitihani hiyo imeanza kufanyika leo tarehe ...